Ufafanuzi wa limbukeni katika Kiswahili

limbukeni

nominoPlural malimbukeni

  • 1

    mtu anayeanza kutumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza.

Matamshi

limbukeni

/limbukɛni/