Ufafanuzi wa limki katika Kiswahili

limki

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na kasoro; kuwa na hitilafu au upungufu.

    pungukiwa

Asili

Kar

Matamshi

limki

/limki/