Ufafanuzi wa limuzini katika Kiswahili

limuzini

nominoPlural limuzini

  • 1

    gari la kifahari hususani refu lenye bei kubwa.

Asili

Kng

Matamshi

limuzini

/limuzini/