Ufafanuzi wa linda katika Kiswahili

linda

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka salama; angalia ili kuepusha na madhara au hasara.

    chunga, tunza, hami

  • 2

    fuga

Matamshi

linda

/linda/