Ufafanuzi wa linga katika Kiswahili

linga

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    angalia kama kitu kiko sawasawa.

    pima

Matamshi

linga

/linga/