Ufafanuzi msingi wa lingana katika Kiswahili

: lingana1lingana2

lingana1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  kuwa sawasawa kwa urefu, uzito na umri, nk.

  fanana, landana, elewana, shabihiana

 • 2

  patana, afikiana

Matamshi

lingana

/lingana/

Ufafanuzi msingi wa lingana katika Kiswahili

: lingana1lingana2

lingana2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

Kidini
 • 1

  Kidini
  omba haja au matakwa k.v. kwa Mwenyezi Mungu au mzimuni.

  ‘Mlingane Mungu’

 • 2

  Kidini

  ‘Alikuwa akiwalingania watu dini’
  tangaza

Matamshi

lingana

/lingana/