Ufafanuzi wa linganisha katika Kiswahili

linganisha

kitenzi elekezi

  • 1

    weka vitu ili kuona iwapo ni sawa au vinatofautiana.

    mithilisha

Matamshi

linganisha

/linganiāˆ«a/