Ufafanuzi wa lingo katika Kiswahili

lingo

nominoPlural lingo

  • 1

    mkusanyiko wa miti iliyokatwa k.v. kuni, boriti au mbao ambazo huwekwa mafungu tayari kwa kuuzwa.

Matamshi

lingo

/lingɔ/