Ufafanuzi wa lini katika Kiswahili

lini

kielezi

  • 1

    tamko la kuulizia wakati; wakati gani; siku gani.

    ‘Atakuja lini?’

Matamshi

lini

/lini/