Ufafanuzi wa lipiza katika Kiswahili

lipiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    tendea mtu jambo kwa dhamira ya kulipa wema au ubaya aliokufanyia.

Matamshi

lipiza

/lipiza/