Ufafanuzi msingi wa lipua katika Kiswahili

: lipua1lipua2

lipua1

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~lisha, ~liwa, ~sha

  • 1

    fanya kitu kitoke, kifumuke au kipasuke kwa nguvu au kwa haraka kwa sababu ya moto.

Matamshi

lipua

/lipua/

Ufafanuzi msingi wa lipua katika Kiswahili

: lipua1lipua2

lipua2

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~lisha, ~liwa, ~sha

  • 1

    maliza kazi.

  • 2

    fanya kazi harakaharaka bila ya makini ili iishe kabla ya wakati.

Matamshi

lipua

/lipua/