Ufafanuzi msingi wa lipyoto katika Kiswahili

: lipyoto1lipyoto2

lipyoto1

nominoPlural lipyoto

  • 1

    ndege anayechafua maji k.v. ya kisimani au kwenye chemchemi.

Matamshi

lipyoto

/lipjɔtɔ/

Ufafanuzi msingi wa lipyoto katika Kiswahili

: lipyoto1lipyoto2

lipyoto2

nominoPlural lipyoto

  • 1

    mtu anayesababisha watu wengine wagombane au wasielewane kutokana na maneno yake.

Matamshi

lipyoto

/lipjɔtɔ/