Ufafanuzi msingi wa lisani katika Kiswahili

: lisani1lisani2lisani3

lisani1

nominoPlural lisani

Asili

Kar

Matamshi

lisani

/lisani/

Ufafanuzi msingi wa lisani katika Kiswahili

: lisani1lisani2lisani3

lisani2

nominoPlural lisani

 • 1

  usemi aulugha anayotumia mtu.

Asili

Kar

Matamshi

lisani

/lisani/

Ufafanuzi msingi wa lisani katika Kiswahili

: lisani1lisani2lisani3

lisani3

nominoPlural lisani

 • 1

  kipande cha mshadhari katika sehemu ya mbele ya suruali.

 • 2

  upapi wenye umbo la mshadhari unaoshonewa katika sehemu ya kifua ya kanzu.

  mhalibori

Asili

Kar

Matamshi

lisani

/lisani/