Ufafanuzi wa litania katika Kiswahili

litania

nominoPlural litania

Kidini
  • 1

    Kidini
    sala ya baadhi ya madhehebu ya Wakristo inayosomwa na kiongozi na kuitikiwa na waumini.

Asili

Kla

Matamshi

litania

/litanija/