Ufafanuzi wa litografia katika Kiswahili

litografia

nominoPlural litografia

  • 1

    namna ya uchapaji maandishi kwa kutumia kisahani bapa cha chuma ambacho kinaruhusu rangi kuingia sehemu zile tu zinazotakiwa.

Asili

Kng

Matamshi

litografia

/litɔgrafija/