Ufafanuzi wa liwata katika Kiswahili

liwata

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tembea juu ya; gandamiza kwa kukanyaga.

    kanyaga, vyoga

Matamshi

liwata

/liwata/