Ufafanuzi wa loho katika Kiswahili

loho

nomino

  • 1

    kitu kinachotumika kwa kuandikia juu yake k.v. karatasi au ubao.

Matamshi

loho

/lɔhɔ/