Ufafanuzi wa longitudo katika Kiswahili

longitudo

nominoPlural longitudo

  • 1

    mstari wa kufikirika tu katika ramani ya dunia unaotoka ncha ya Kaskazini hadi ncha ya Kusini ambao hutumika katika elimu ya jiografia.

Asili

Kng

Matamshi

longitudo

/lɔngitudɔ/