Ufafanuzi wa lowea katika Kiswahili

lowea

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~sha

  • 1

    fanya maskani mahali pengine tofauti na mahali pako pa asili; selelea mahali; kaa mahali kabisa bila kurudi nyumbani kwako.

    selea

Matamshi

lowea

/lɔwɛja/