Ufafanuzi wa lugha katika Kiswahili

lugha

nominoPlural lugha

 • 1

  mpangilio wa sauti na maneno unaoleta maana ambao hutumiwa na watu wa taifa au kundi fulani kwa ajili ya kuwasiliana.

  usemi

 • 2

  maneno na matumizi yake.

 • 3

  mtindo anaotumia mtu kujieleza.

Asili

Kar

Matamshi

lugha

/luɚa/