Ufafanuzi wa lugha kienzo katika Kiswahili

lugha kienzo

  • 1

    lugha ya mjazo au msimbo ambayo hutumiwa kueleza vidahizo katika kamusi, nayo hujengwa kwa maneno, vifupisho vya maneno, alama za uakifishaji, tarakimu, herufi, na alama mbalimbali kadiri ya mahitaji ya kamusi.