Ufafanuzi wa lugha sanifu katika Kiswahili

lugha sanifu

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    lugha ambayo imekubaliwa kwa makusudi maalumu kutumika kwa mawasiliano rasmi au katika elimu.