Ufafanuzi wa lugha za taifa katika Kiswahili

lugha za taifa

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    lugha za asili au za kikabila katika nchi fulani k.v. Kikikuyu, Kiluhya, Kisomali nchini Kenya au Kihaya, Kibondei, Kinyaturu nchini Tanzania.