Ufafanuzi wa lugojo katika Kiswahili

lugojo

nomino

  • 1

    watu wanaolinda zamu.

Matamshi

lugojo

/lugɔʄɔ/