Ufafanuzi wa lulu katika Kiswahili

lulu

nominoPlural lulu

  • 1

    kitu kama changarawe, cheupe au pengine cheusi, kinachong’aa, hupatikana katika chaza na hutumika kuwa ni kito katika mapambo.

    duri

Asili

Kar

Matamshi

lulu

/lulu/