Ufafanuzi wa luteni katika Kiswahili

luteni

nominoPlural maluteni

  • 1

    ofisa wa kijeshi aliye chini ya kapteni na juu ya luteni-usu.

Asili

Kng

Matamshi

luteni

/lutɛni/