Ufafanuzi wa luteni-kanali katika Kiswahili

luteni-kanali

nominoPlural maluteni-kanali

  • 1

    ofisa wa kijeshi mwenye cheo kilicho juu ya meja na chini ya kanali.

Asili

Kng

Matamshi

luteni-kanali

/lutɛni kanali/