Ufafanuzi wa luva katika Kiswahili

luva

nominoPlural luva

  • 1

    vipande vyembamba vya mbao, plastiki, vioo, n.k. vilivyowekwa kwa mpangilio maalumu katika fremu za madirisha au milango na huweza kufunguliwa au kufungwa kwa kuvipandisha au kuvishusha.

    ‘Tunauza vyerehani, spea, na luva za madirisha’

Asili

Kfa

Matamshi

luva

/luva/