Ufafanuzi wa maabadi katika Kiswahili

maabadi

nominoPlural maabadi

Kidini
  • 1

    Kidini
    mahali watu wanapoabudia k.v. msikiti, kanisa au hekalu.

Asili

Kar

Matamshi

maabadi

/ma abadi/