Ufafanuzi wa maabara katika Kiswahili

maabara

nominoPlural maabara

  • 1

    mahali pa kufanyia majaribio na mazoezi ya sayansi au uchunguzi wa tiba.

    lebu

Matamshi

maabara

/ma abara/