Ufafanuzi wa maadamu katika Kiswahili

maadamu

kiunganishi

  • 1

    tamko la kuonyesha sababu au hali ya kutendeka kwa jambo; kwa kuwa; kwa sababu.

    ‘Maadamu umefika tutaanza mkutano’
    madhali, kama

Asili

Kar

Matamshi

maadamu

/ma adamu/