Ufafanuzi wa maadhimisho katika Kiswahili

maadhimisho

nominoPlural maadhimisho

  • 1

    sherehe za kulitukuza au kulikumbuka jambo.

    ‘Leo kuna maadhimisho ya siku ya uhuru’

  • 2

    jinsi au namna ya kulitukuza au kulikumbuka jambo.

    ‘Maadhimisho ya mwaka huu yalikuwa makubwa’

Asili

Kar

Matamshi

maadhimisho

/ma aðimi∫ɔ/