Ufafanuzi wa maakuli katika Kiswahili

maakuli

nominoPlural maakuli

  • 1

    anuwai ya vyakula.

    ‘Jioni ilipoingia maakuli yalianza kuandaliwa’

  • 2

    ‘Ukumbi wa maakuli’
    chakula, mlo

Asili

Kar

Matamshi

maakuli

/ma akuli/