Ufafanuzi wa maambukizi katika Kiswahili

maambukizi

nominoPlural maambukizi

  • 1

    usambazaji wa vimelea vya ugonjwa kutoka sehemu au kiumbe kimoja kwenda sehemu au kiumbe kingine kwa njia mbalimbali.

Matamshi

maambukizi

/ma ambukizi/