Ufafanuzi wa maamuma katika Kiswahili

maamuma

nominoPlural maamuma

  • 1

    Kidini
    mtu anayemfuata imamu katika sala.

    mfuasi

  • 2

    mtu asiye na ujuzi fulani na inambidi amfuate mwenye ujuzi.

Asili

Kar

Matamshi

maamuma

/ma amuma/