Ufafanuzi wa maamuru katika Kiswahili

maamuru

nomino

  • 1

    sheria za wakati wa ukoloni.

    ‘Wakoloni walitunga maamuru kwa ajili ya utawala wa wakati wa ukoloni’

Asili

Kar

Matamshi

maamuru

/ma amuru/