Ufafanuzi msingi wa maana katika Kiswahili

: maana1maana2

maana1

nominoPlural maana

 • 1

  tafsiri ya kitu au jambo; maelezo ya kufanya jambo lieleweke waziwazi.

 • 2

  ‘Nieleze maana ya kumpiga mwenzio’
  sababu, kisa, ajil

 • 3

  ‘Huna maana’
  kusudio, lengo

Asili

Kar

Matamshi

maana

/ma ana/

Ufafanuzi msingi wa maana katika Kiswahili

: maana1maana2

maana2

nominoPlural maana

Asili

Kar

Matamshi

maana

/ma ana/