Ufafanuzi wa maandalizi katika Kiswahili

maandalizi

nominoPlural maandalizi

  • 1

    matayarisho kwa ajili ya shughuli fulani.

    ‘Wanafanya maandalizi ya harusi ya binti yao’

Matamshi

maandalizi

/ma andalizi/