Ufafanuzi wa maangamizo katika Kiswahili

maangamizo

nominoPlural maangamizo

  • 1

    hali au tendo la uangamizaji; hali ya kuwepo au kuleta uharibifu.

    nakama, gharika

Matamshi

maangamizo

/ma angamizɔ/