Ufafanuzi wa maanisha katika Kiswahili

maanisha

kitenzi elekezi

  • 1

    kuweka wazi maana inayokusudiwa.

    ‘Sikumaanisha kuwa yeye ni mwalimu wa kuajiriwa bali anajitolea tu’

Asili

Kar

Matamshi

maanisha

/ma ani∫a/