Ufafanuzi wa maasumu katika Kiswahili

maasumu

kivumishi

  • 1

    Kidini
    -siyo na dhambi au kasoro.

  • 2

    -siyo na makosa.

    ‘Kila mtume ni maasumu’

Asili

Kar

Matamshi

maasumu

/ma asumu/