Ufafanuzi wa mabadilishano katika Kiswahili

mabadilishano

nomino

  • 1

    ubadilishanaji wa vitu kati ya watu au nchi na nchi.

Matamshi

mabadilishano

/mabadili∫anɔ/