Ufafanuzi wa mabishano katika Kiswahili

mabishano

nominoPlural mabishano

  • 1

    utoaji wa fikira zinazohitilafiana; mashindano ya maneno.

    ubishani, chilumbo, mjadala, malumbano, kongamano

Matamshi

mabishano

/mabi∫anɔ/