Ufafanuzi wa mabruki katika Kiswahili

mabruki

kivumishi

  • 1

    -enye neema na mafanikio; -enye baraka.

Asili

Kar

Matamshi

mabruki

/mabruki/