Ufafanuzi wa machachari katika Kiswahili

machachari

nominoPlural machachari

  • 1

    hali ya kutotulia au kutokuwa makini katika kufanya jambo.

    mangumburi, mapepe, macheche, utundu

Matamshi

machachari

/mat∫at∫ari/