Ufafanuzi wa machafuko katika Kiswahili

machafuko

nominoPlural machafuko

  • 1

    hali ya kuharibika kwa amani inayosababishwa agh. na mapigano.

    fujo, msukosuko, ghasia

Matamshi

machafuko

/mat∫afukɔ/