Ufafanuzi wa machagu katika Kiswahili

machagu

nominoPlural machagu

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuchaguachagua chakula au vitu.

    kidomo, mnywanywa, mchaguzi, mbeuzi, mteuzi

Matamshi

machagu

/mat∫agu/