Ufafanuzi wa machaza katika Kiswahili

machaza

nominoPlural machaza

  • 1

    chakula kipikwacho kama wali kwa kutumia punje za mahindi.

  • 2

    chakula kipikwacho kwa mchele.

    wali

Matamshi

machaza

/mat∫aza/