Ufafanuzi wa macheleo katika Kiswahili

macheleo

nominoPlural macheleo

  • 1

    sehemu jua linakochomozea.

    mashariki

Matamshi

macheleo

/mat∫ɛlɛjɔ/