Ufafanuzi wa macheo katika Kiswahili

macheo

nominoPlural macheo

  • 1

    wakati jua linapochomoza.

    mapambazuko, asubuhi, mawio, matlai

Matamshi

macheo

/mat∫ɛjɔ/